Jiwe La Nyoka Na Utapeli Mwengineo
Kiufupi, Mawe ya nyoka au Jiwe la sumu ya nyoka au Jiwe jeusi, hayafanyi kazi hata kidogo, hasa tukiongelea kuondoa sumu kwenye eneo la mwili lililong’atwa na nyoka. Dunia ina vituko vingi mno, na mara nyingi vituko hivi huweza kwenda miaka mingi, kizazi baada ya kizazi pasipo kujulikana na wengi kutojiuliza nini hasa kinachotokea. Vituko […]